LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWANZA "Majaliwa aendelea kuwanadi wagombea wa CCM"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa anaendelea na mikutano ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu mkoani Mwanza ambapo Alhamisi Septemba 24, 2020 anawaombea kura wagombea wa chama hicho katika Wilaya za Misungwi na Kwimba.

Majaliwa amewaomba wananchi kuwachagua viongozi wa CCM ili wakasimamie vyema utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo maji kama ambavyo Ilani ya CCM ya mwaka 2020/25 inaelekeza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mwenyekiti wa CCM Wilaya Misungwi.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mwanza.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa (kushoto) akiteta jambo na mbunge mteule wa Jimbo la Misungwi, Alexarnder Mnyeti (kulia).
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa Mwanza.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa (kulia) akisalimiana na wabunge wateule wa Viti Maalum.
Wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa wilayani Misungwi.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.