PICHA “kampeni za Uchaguzi Mkuu Tanzania”
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa akiwaombea kura wagombea wa chama hicho katika Kijiji cha Ukara, Kata ya Bwisya wilayani Ukerewe, Septemba 23, 2020.
#BMG
Wabunge Wateule wa Viti Maalum (CCM) Mkoa Mwanza wakiwaombea kura wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya udiwani, ubunge na urais.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
SOMA>>> Habari za Uchaguzi
No comments: