Meli mpya MV Mwanza "Hapa Kazi Tu" yashushwa kwenye Cherezo
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Uundaji wa Meli mpya ya MV Mwanza "Hapa Kazi Tu " katika Ziwa Victoria unaenda kasi ambapo Septemba 16, 2020 hatua muhimu ya kushusha vyuma kwenye cherezo (KEEL LAYING) imeshuhudiwa na viongozi mbalimbali.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na Meli
No comments: