LIVE STREAM ADS

Header Ads

Viongozi wa Mitaa na Vijiji wakumbushwa wajibu wao

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Viongozi wa Serikali za Vijiji na Mitaa katika Wilaya Bunda mkoani Mara wametakiwa kutimiza vyema wajibu wao ili kutokomeza matukio mbalimbali ya ukatili wa kijinsia hususani kwa wanawake na watoto wilayani humo.

Mkuu wa Wilaya Bunda, Lyidia Bupilipili ametoa rai hiyo wakati akifungua kikao cha Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Vijiji wilayani humo, kilicholenga kujadili masuala mbalimbali ikiwemo wajibu wa viongozi hao katika kuimarisha ulinzi wakati, kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Wilaya Bunda, Lyidia Bupilipili akizungumza kwenye kikao hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la kutetea haki za wasichana na wanawake (KIVULINI), Yassin Ally akiwasilisha mada kuhusu wajibu wa viongozi wa Serikali za Vijiji na Mitaa katika kupambana na ukatili wa kijinsia.
Viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji wilayani Bunda wakichangia hoja kwenye kikao hicho.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.