Wanahabari Mwanza wapokea Bima za Afya "mgeni rasmi atunisha mfuko wa chama"
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Hafla ya kukabidhi kadi za bima ya afya kwa wanachama wa MPC imefanyika Jumanne Septemba 01, 2020 ambapo mgeni rasmi Mwenyekiti wa The Desk & Chair Foundation (TD & CF), Alhaji Sibatin Meghjee ametumia fursa hiyo kuchangia Mfuko wa Kusaidiana wa Wanachama wa MPC (MPC Solidarity Fund).
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
SOMA>>> Habari za MPC
No comments: