LIVE STREAM ADS

Header Ads

LISSU apata mapokezi makubwa Mwanza 'akataa kazi ya MAGUFULI'

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (kulia) akiwasili katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza unapofanyika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 kwa upande wa chama hicho, Jumanne Septemba 01, 2020.
Mkutano wa kampeni za CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020.
Wafuasi wa CHADEMA wakiwa katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza.
Mapokezi ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu alipowasili jijini Mwanza kuelekea katika uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa kampeni za chama hicho.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chni

No comments:

Powered by Blogger.