LIVE STREAM ADS

Header Ads

Benki ya Akiba yawakosha wateja wake “imekuwa kimbilio”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Benki ya Akiba (Akiba Commercial Bank) imekutana na wateja wake mkoani Mwanza na kuahidi kuendelea kuboresha huduma zake ikiwemo mikopo yenye riba na masharti nafuu pamoja na kufungua mawakala katika maeneo yote muhimu.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Meneja wa Benki ya Akiba tawi la Mwanza, Herieth Bujiku akizungumza kwenye jukwaa la wateja wa benki hiyo lililofanyika jijini Mwanza.
Afisa wa Benki ya Akiba, Dora Saria akielezea huduma za benki hiyo kwa wateja.
Jukwaa la Wateja wa Benki ya Akiba mkoani Mwanza.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.