LIVE STREAM ADS

Header Ads

WAPIGA KURA MAGU WARUBUNIWA ‘VICHINJIO’

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, 2020 zikielekea ukingoni, wapiga kura wametakiwa kuwa makini na baadhi ya wanasiasa wanaowarubuni na kuchukua kadi zao za kupigia kura ‘vichinjio’. 

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Magu, Lutengano Mwalwiba ametoa tahadhari hiyo Oktoba 20, 2020 wakati akizungumzia maandalizi ya uchaguzi huo na kubainisha kuwa tayari wamepokea taarifa za wapiga kura 35 jimboni humo kurubuniwa vitambulisho vyao.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.