LIVE STREAM ADS

Header Ads

KAZI YAREJEA KWA KASI JENGO LA ABIRIA MWANZA AIRPORT

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Shughuli za ufungaji vyuma ili kupamba mwonekano kamili wa jengo la kisasa kwa ajili ya abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza, inatarajiwa kurejea kwa kasi baada ya shehena ya vyuma kuanza kuwasili kutoka nje ya nchi. Shughuli hiyo ilisimama kwa takribani miezi mitano baada ya kuibuka janga la Corona.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.