LIVE STREAM ADS

Header Ads

KASHILIMU aacha neema Tamabu Sekondari Sengerema

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa, Richard Kashilimu ameahidi kufikisha kwa mamlaka husika kilio cha ukosefu wa maji pamoja na umeme katika Shule ya Sekondari Tamabu iliyopo Wilaya Sengerema mkoani Mwanza ili kutafutiwa ufumbuzi. 

Kashilimu ametoa ahadi hiyo akiwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya sita ya kidato cha nne mwaka huu 2020 shuleni hapo.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.