LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maafisa wa Majeshi wafanya ziara Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Maafisa wa majeshi kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Afrika Mashariki, Kaskazini na Magharibi wanaopata mafunzo katika Chuo cha Ukamanda na Unadhimu Duluti mkoani Arusha, wamefanya ziara mkoani Mwanza na kutembelea miradi mbalimbali ya kimkakati ikiwemo kushuhudia kivuko kipya cha MV. Ukara II kikiingizwa majini.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.