LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waandishi wa Habari kuzuru Butiama kumuenzi Nyerere

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.comWaandishi wa Habari wanatarajia kutembelea makazi na makumbusho ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere yaliyopo Butiama mkoani Mara ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 21 tangu kifo chake Oktoba 14, 1999.

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa Mwanza (MPC), Edwin Soko amesema ziara hiyo inatarajiwa kufanyika Oktoba 14, 2020 na kwamba hatua hiyo ni sehemu ya kujifunza na kuenzi falsasa za Mwl. Nyerere.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mwenyekiti wa MPC, Edwin Soko (katikati) akizungumzia safari ya waandishi wa habari kutembelea makumbusho wa Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere katika Kijiji cha Mwitongo wilayani Butiama. Kulia ni Mratibi wa MPC, Rose Mwanza na kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya wa kwanza wakati Wilaya Butiama kuanzishwa.
Wanahabari mkoani Mwanza.
Wanahabari.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.