LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwenyekiti MPC atangaza nia kugombea Urais UTPC

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa Mwanza (Mwanza Press Club- MPC), Edwin Soko ametangaza rasmi nia ya kugombea nafasi ya urais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (Unioni of Tanzania Press Clubs- UTPC).

Soko ametangaza nia hiyo mbele ya waandishi wa habari Jumanne Oktoba 13, 2020 na kuwaomba wapiga kura wa uchaguzi huo (Wenyeviti, Waratibu na Wahasibu wa Klabu za Habari Tanzania) kumchagua kupitia uchaguzi utakaofanyika Novemba 17, 2020 mkoani Morogoro.
Tazama BMG ONLINE TV haapa chini

No comments:

Powered by Blogger.