WATANZANIA wakumbushwa umuhimu wa kutunza AKIBA
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Katika kufanikisha hilo, elimu ya fedha na utunzaji akiba pia imetolewa kwa wanafunzi zaidi ya elfu sita katika mikoa ya Mwanza na Kagera.
Mkurugenzi Mkazi wa taasisi ya SBFIC, Stephen Safe ametoa rai hiyo Oktoba 09, 2020 jijini Mwanza wakati akizungumza kwenye warsha ya kujengeana uwezo iliyowajumuisha washirika wa taasisi hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Akiba Duniani ambayo huadhimishwa mwezi Oktoba kila mwaka.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Washiriki wa warsha hiyo wakimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa taasisi ya SBFIC (Savings Banks Foundation for International Coorperation), Stephen Safe wakati akielezea shughuli za taasisi hiyo.
Mkurugenzi Mkazi wa taasisi ya SBFIC (Savings Banks Foundation for International Coorperation), Stephen Safe akifafanua jambo wakati wa warsha hiyo.
Mkufunzi wa Elimu ya Kifedha kutoka taasisi ya SBFIC, Tunu Kimea.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na AKIBA
No comments: