LIVE STREAM ADS

Header Ads

CHANZO CHA MOTO SHULE YA SEKONDARI LORETO CHATAJWA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Baada ya moto kuteketeza ghorofa ya tatu ya bweni la wanafunzi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Loreto iliyopo Wilaya Ilemela mkoani Mwanza, uchunguzi wa awali umefanyika na kubaini chanzo cha tukio hilo lililotokea Jumamosi Novemba 21, 2020 majira ya jioni.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.