LIVE STREAM ADS

Header Ads

MISUNGWI SEKONDARI WAPATA BWENI LA KISASA “DC ATAKA ONE”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya Misungwi mkoani Mwanza, Juma Sweda ameweka jiwe la msingi la ufunguzi rasmi wa bweni jipya na la kisasa katika Shule ya Sekondari Misungwi, lililogharimu zaidi ya shilingi milioni 120 ikiwa ni fedha za Serikali, wananchi pamoja na salio la fedha za matumizi mbalimbali shuleni hapo.
Mwonekano wa bweni la kisasa katika Shule ya Sekondari Misungwi mkoani Mwanza.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Misungwi Sekondari wakiwa kwenye bweni hilo jipya.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.