LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wadau wakaribishwa Bugando kuwekeza katika huduma ya chakula

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wadau mbalimbali wanaotamani kutoa huduma ya chakula kwa umma wanakaribishwa kuwekeza katika eneo la Hospitali ya Kanda Bugando ambapo majengo ya kutolea huduma hiyo yako mbioni kukamilika kama yanavyoonekana pichani.

Huduma hiyo ya chakula itawalenga zaidi wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Sayansi za Afya (CUHAS Bugando), wagonjwa na ndugu wa wagonjwa wanaofika katika Hospitali ya Kanda Bugando.
#BMGHabari

No comments:

Powered by Blogger.