Meneja NHIF Mwanza ajibu tuhuma zilizosambazwa mtandaoni
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Jarlath Mushashu akizungumza kwenye kikao baina ya mfuko huo na watoa huduma za afya binafsi mkoani Mwanza kilichoketi Disemba 01, 2020.
Dkt. Richard Thomas kutoka NHIF akitoa ufafanuzi kuhusiana na utaratibu wa makato unaofanywa na mfuko huo baada ya watoa huduma za afya kutoa matibabu kwa wanachama wake.
Mwenyekiti wa watoa huduma za afya binafsi za afya Kanda ya Ziwa, Dkt. Godfrey Mnyaga (kushoto) pamoja na Dkt. Richard Thomas kutoka NHIF wakifuatilia kikao hicho.
Katika kikao hicho NHIF ilihimiza watoa huduma hao kutumia taratibu za kiofisi kuwasilisha malalamiko yao ikiwa yapo na si kutumia mitandao ya kijamii kusambaza tuhuma mbalimbali zisizo na ushahidi.
Watoa huduma binafsi mkoani Mwanza walihimiza kikao hicho kuimarisha ushirikiano zaidi na NHIF.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
SOMA>>> Habari zaidi kuhusiana na NHIF
No comments: