LIVE STREAM ADS

Header Ads

"Nitafuata Nyayo za Rais Magufuli"- Meya Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Meya mpya wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Costantine Sima ameahidi kusimamia vyema utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo huku akiziishi fikra za utumishi uliotukuka kutoka kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika kuwatumikia wananachi. 

Sima alitoa kauli hiyo Disemba 01, 2020 baada ya kuapishwa kuwa diwani wa Kata ya Mhandu na kuidhinishwa kwa kura zote 25 za ndiyo kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Naibu Meya wa Jiji la Mwanza, Rodrick Ngoye.
Uchaguzi wa Uchaguzi wa Meya na Naibu Meya jijini Mwanza alisimamiwa na Naibu Katibu Tawala Wilaya Nyamagana, Magreth Paul.
Mkurugenzi Mtendaji Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba.
Tazama picha mbalimbali kwenye kikao cha kwanza cha baraza la madiwani jijini Mwanza.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.