LIVE STREAM ADS

Header Ads

“Nitaimarisha Utawala Bora”- Meya Ilemela

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, Renatus Mulunga ameahidi kusimamia uongozi unaozingatia utawala bora akianza na baraza la madiwani wa halmashauri hiyo. 

Mulunga aliyasema hayo Disemba 02, 2020 baada ya kuidhinishwa kwa kura zote 27 za ndiyo kuwa Mstahiki Meya wa Halmashauri hiyo sawa na Naibu Meya wake Manusura Musigaliye.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.