LIVE STREAM ADS

Header Ads

Baada ya Uchaguzi “kazi yaanza kwa kasi Nyamagana”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula "mzee" amesema kazi imeanza rasmi jimboni humo baada ya shughuli za Uchaguzi Mkuu 2020 kumalizika na wananchi kuwachagua viongozi wao.

Mabula aliyasema hayo Disemba 02, 2020 alipofanya ziara Kata kwa Kata ili kukagua hali ya miundombinu ya barabara jimboni humo na kukuta baadhi yake hali si nzuri lakini akawatoa hofu wananchi kwamba Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 1.8 kwa ajili ya kuboresha miundombinu hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.