LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mongella avutiwa na mbio za “Rock City Marathon”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amevutiwa na uratibu wa mbio za Rock City Marathon zinazoandaliwa na kampuni ya Capital Plus kwa lengo la kukuza na kutangaza utalii. RC Mongella alitoa kauli hiyo Novemba 29, 2020 baada ya kushiriki mbio hizo.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.