LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kila mwezi natenga milioni 150 za kukopesha- Kiomoni Kibamba

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba amebainisha kwamba kila mwezi kupitia mapato ya ndani ya halmashauri hiyo anatenga shilingi milioni 150 sawa na bilioni 1.8 kwa mwaka kwa ajili ya mikopo ya asilimia 10 kwa vijana, wanawake na walemavu. 

Kibamba aliyasema hayo wakati wa hafla fupi ya kukabidhi bajaji tano zenye thamani ya shilingi milioni 40 zilizotolewa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kikundi cha vijana waendesha bajaji Kituo cha Buhongwa.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.