LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la KIVULINI lashtushwa na watoto waliokimbilia mitaani

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la KIVULINI, Yassin Ally ametaka hatua madhubuti kuchukuliwa ili kupambana na wimbi la watoto kukimbilia mitaani huku wengine wakitumikishwa kazi mbalimbali katika Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma.

Aliyasema hayo Disemba 07, 2020 wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yaliyofanyika katika uwanja wa Mashujaa mjini Kasulu.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.