LIVE STREAM ADS

Header Ads

Loh! Usicheze na JPM, cheki utekelezaji wa agizo lake, ni noma

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Halmashauri ya Jiji la Mwanza imetekeleza kwa viwango agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli la ujenzi wa vyumba vya madarasa katika Shule ya Msingi Iseni B alilolitoa kufuatia mmoja wa wanafunzi wa Shule hiyo kuomba wajengewe madarasa aliposimama katika Kata ya Butimba. 

Pia utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa Halmashauri zote nchini kuhakikisha hakuna upungufu wa vyumba vya madarasa kwa wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza mwaka huu 2021 liko mbioni kukamilika katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.