LIVE STREAM ADS

Header Ads

Loh! JAFO achefukwa jamani, watu wana stress, hakuna haki, hadi wajipendekeze

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo amekagua ujenzi wa Ofisi za Halmashauri pamoja na Hospitali ya Buchosa kisha kuzungumza na watumishi kubwa zaidi akiwataka kuwa waadilifu na kujiepusha na vitendo vya rushwa hususani rushwa ya ngono ili kutenda haki.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.