LIVE STREAM ADS

Header Ads

UPDATES kuhusiana na ujenzi wa jengo la abiria ‘Mwanza Airport’

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Baada ya ujenzi wa jengo la abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza kusimama kwa muda kwa kipindi cha mwaka jana 2020 kutokana na janga la Corona lililosababisha nguto kutoka Kenya kuchelewa kuwasili, hatimaye kazi imeanza tena ili kukamilika jengo hilo mapema mwaka huu 2021.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.