LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Jafo ataka stendi ya mabasi Nyamhongolo Ilemela ikamilike kwa wakati

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo Januari 04, 2021 amekagua ujenzi wa stendi ya mabasi pamoja na maegesho ya malori Nyamhongolo katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza na kuagiza mradi huo ukamilike kwa wakati.
#BMGHabari
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo Januari 04, 2021 akiwa na viongozi mbalimbali kukagua ujenzi huo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.