LIVE STREAM ADS

Header Ads

Biteko aushukia mgodi wa Buckreef mkoani Geita

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Madini, Doto Biteko (katikati) akizungumza na menejimenti ya mgodi wa Buckreef uliopo Lwamugasa mkoani Geita kubwa zaidi akisisitiza mgodi huo uanze rasmi uzalishaji. Kulia ni Mkuu wa Wilaya Geita, Fadhili Juma na kushoto ni mbunge wa jimbo la Busanda, Tumaini Magesa.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Msafara wa Waziri wa Madini, Doto Biteko ukielekea kukagua kinu cha kuchenjulia dhahabu mgodini hapo.
Waziri wa Madini, Doto Biteko na msafara wake akiwasili kukagua shughuli mbalimbali ikiwemo uchenjuaji dhahabu katika mgodi wa Buckreef mkoani Geita.
Waziri wa Madini, Doto Biteko (wa pili kushoto) pamoja na viongozi mbalimbali wakikagua shughuli mbalimbali mgodini hapo ambapo aliagiza shughuli zianze rasmi baada ya kupita muda mrefu kukiwa na shughuli za utafiti.
Sehemu ya kinu cha kuchenjulia dhahabu katika mgodi wa Buckreef wilayani Geita. Mgodi huo unamilikiwa kwa ubia baina ya STAMICO na Tanzam200.
'tunafuatilia maelekezo'
Mwakilishi wa mgodi wa Buckreef, Khalaf Rashid (kushoto) pamoja na wataalamu mbalimbali wakifuatilia kwa umakini maelekezo ya Waziri Biteko (hayuko pichani).
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.