LIVE STREAM ADS

Header Ads

Duh! KALEMANI awasha moto TANESCO, Meneja nakupa siku 15

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ametembelea mgodi wa Busolwa uliopo Wilaya Misungwi mkoani Mwanza na kutoa siku 15 kwa Meneja wa Tanesco Kanda ya Ziwa na mwenzake wa Mkoa Mwanza kuhakikisha wanafunga transfoma yenye uwezo wa kuendesha mitambo katika mgodi huo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.