LIVE STREAM ADS

Header Ads

KUMEKUCHA!! Agizo la MAJALIWA lamtoa MONGELLA ofisini

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amefika katika Shule za Sekondari zaidi ya 10 katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza ili kufuatilia utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. 

Itakumbukwa Majaliwa aliziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinasimamia ujenzi wa vyumba vya madarasa ili kuondoa upungufu uliopo na wanafunzi wote waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza waanze masomo yao kwa wakati.
Tazama BMG hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.