LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Mkuu awapiga STOP watumishi hawa kwenda likizo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka Makatibu Tawala wa Mikoa nchini kuhakikisha kuwa watumishi wa idara ya elimu, manunuzi pamoja na ujenzi hawaendi likizo ya krismasi na mwisho wa mwaka 2020 ili wasimamie ujenzi wa vyumba vya madarasa pamoja na madawati kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza mwakani 2021.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.