LIVE STREAM ADS

Header Ads

WAMEVULIMIA! Watanufaika na stendi ya Nyegezi, chukua majina yao- MABULA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula amesema wafanyabiashara waliovumilia na kutotelekeza vibanda vyao katika soko la Nyegezi, ndio wataopewa kipaumbele baada ya maboresho ya soko hilo kufanyika pamoja na ujenzi wa stendi ya kisasa Nyegezi kukamilika.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula akisikiliza kero za wajasiriamali wa samaki katika soko la Nyegezi.
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula akionja samaki alipowatembelea wajasiriamali katika soko la Nyegezi. 
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula (wa tatu kushoto) akimsikiliza Afisa Biashara Jiji la Mwanza (wa pili kushoto) alipotembelea soko la Nyegezi.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye ziara hiyo ya Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula.
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula na viongozi mbalimbali wakikagua uharibifu wa miundombinu katika soko la Nyegezi.
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula na viongozi mbalimbali wakikagua mindombinu ya soko la Nyegezi.
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula pamoja na Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Sima Costantine wakiangalia shughuli za uzalishaji viatu katika soko la Nyegezi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.