LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maduka 36 yafungwa Mwanza, mbunge aingilia kati, lazima tusaidiane

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula amefika katika soko la Mkolani jijini Mwanza na kukutana na kilio cha wafanyabiashara pamoja na wateja kukimbia soko hilo hilo kutokana na ubovu wa miundombinu.
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula akiongea na wajasiriamali katika soko la Mkolani jijini Mwanza.
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula akisikiliza changamoto za wafanyabishara katika soko la Mkolani ili kuzitafutia ufumbuzi.
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula akisalimiana na wajasiriamali katika soko la Mkolani.
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula yko kwenye ziara ya kukagua masoko tisa jijini Mwanza ili kubaini changamoto zake kwa ajili ya kutafutiwa ufumbuzi.
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula akikagua ujenzi wa Ofisi ya Mtaa wa Ibanda alipotembelea soko la Mkolani.
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula akikagua miundombinu mbalimbali katika soko la Mkolani jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.