LIVE STREAM ADS

Header Ads

Loh! Wananchi wakutana na mbunge wao, wamtwanga maswali, tumalizane

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula amefika katika soko la Buhongwa jijini Mwanza kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za wafanyabiashara wadogo katika soko hilo.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula (kulia) akimsikiliza mmoja wa wachuuzi katika soko la Buhongwa.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula akiwasikiliza wafanyabiashara wa Buhongwa.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula akiongea na wafanyabiashara wadogo wa mbogamboga katika soko la Buhongwa jijini Mwanza.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula akiwasikiliza wafanyabiashara wa nyanya katika soko la Buhongwa.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula akifuatilia kero za wafanyabiashara wa nyanya katika soko la Buhongwa.
Flora Magabe ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Nyamagana akiongea na wafanyabiashara wadogo wa nyanya katika soko la Buhongwa.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.