LIVE STREAM ADS

Header Ads

MONGELLA awataka madiwani Mwanza kuheshimu sheria

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amewataka madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, kufanya kazi kwa ushirikiano huku wakizingatia sheria na kanuni mbalimbali katika kuwatumikia wananchi.
Mkuu wa Wilaya Nyamagana akizungumza na Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.