LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri GWAJIMA: Mnaniombea nitumbuliwe, muibe. Kesheni mkiomba

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima ameagiza hatua zaidi kuchukuliwa kwa watumishi wa Hospitali ya Wilaya Ukerewe mkoani Mwanza waliohusika na wizi wa dawa za Serikali.

Amesema licha ya baadhi ya watumishi hao kuhukumiwa na mahakama na kisha kulipa faini ya shilingi milioni 100 na kuwa huru bado hawastahili kuwa kazini.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.