LIVE STREAM ADS

Header Ads

Loh! Jamani Waziri Gwajima, waliomdanganya waishia kuomba msamaha

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima amekagua mifumo mbalimbali ya utoaji huduma katika katika Hospitali ya Wilaya Ukerewe mkoani Mwanza na kuagiza ukaguzi maalumu kufanyika ili kubaini ukweli wa mambo aliyohisi hayako sawa.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.