LIVE STREAM ADS

Header Ads

Loh! Mbunge amuibukia Meneja wa TANESCO ofisini, kisa hakuna umeme

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula ameibukia ofisini kwa Meneja wa TANESCO Mkoa Mwanza, Mhandisi Felix Olang ili kufuatilia mikakati ya kufikisha umeme katika Mitaa 17 ya jimbo hilo ambayo haina umeme.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula (kulia) akifurahia jambo baada ya kukaribishwa na Meneja wa TANESCO Mkoa Mwanza, Mhandisi Felix Olang (kushoto) alipokuwa akifuatilia utekelezaji wa mikakati ya kufikisha umeme katika Mitaa 17 ambayo bado haina umeme jimboni humo.
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula akielezea Mitaa ambayo haina umeme na kushauri ifikishiwe huduma hiyo katika mradi wa Ujazilizi (Peri-Urban) unaotarajiwa kutekelezwa na Serikali katika miji mbalimbali nchini.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.