LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wachungaji EAGT wajilipua, wafichua mambo mazito, yamfikie JPM

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Baahi ya wachungaji na viongozi wa Kanisa la EAGT wamekutana jijini Mwanza na kutoa taarifa yenye tuhuma nzito kuhusiana na mvutano unaoendelea ndani ya kanisa hilo na kuomba Rais Dkt. John Pombe Magufuli kusaidia upatikanaji wa mwafaka.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.