LIVE STREAM ADS

Header Ads

Loh! DC Bunda awasha moto, mko mjini, mnakusanya kodi, hakuna shule

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya Bunda mkoani Mara, Mwl. Lyidia Bupilipili amewaagiza viongozi wa Kata ya Bunda Mjini kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Halmashauri kuanza mikakati ya kujenga Shule ya Sekondari katika Kata hiyo.

Mwl. Bupilipili alitoa agizo hilo wakati akizungumza kwenye Kikao cha Kamati ya Ushauri (DCC) wilayani humo na kuongeza kuwa ni aibu Kata hiyo ambayo ni kitovu cha ukusanyaji kodi kwa wafanyabiashara mbalimbali lakini haina shule ya sekondari.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.