LIVE STREAM ADS

Header Ads

Viongozi Mwanza walia na barabara “TANROAD, TARURA watwishwa mzigo”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya Sengerema, Emmanuel Kipole (kushoto) akifungua kikao cha Kamati ya Ushauri (RCC) Mkoa Mwanza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella. Kikao hicho kilifanyika Februari 25, 2021.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Wilaya Sengerema, Emmanuel Kipole akifungua kikao cha RCC Mkoa Mwanza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella.
Katibu Tawala Mkoa Mwanza, Emmanuel Tutuba akitoa utangulizi kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa kikao cha RCCM ambaye ni Mkuu wa Mkoa Mwanza ili kufungua kikao hicho.
Mjumbe wa kikao hicho ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya Misungwi, Juma Swema akichangia mada kwenye kikao hicho.
Tazama picha za washiriki na kisha BMG TV hapo chini ili kujua baadhi ya yaliyojadiliwa kwenye kikao hicho.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.