LIVE STREAM ADS

Header Ads

CD De Agosto vs Namungo (2 – 6) Kombe la Shirikisho

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mchezo kati ya CD De Agosto ya Angola na Namungo FC ya Tanzania umepigwa Februari 21, 2021 katika uwanja wa Azam Complex jijini Dar es salaam. 

Mchezo huo uliahirishwa kuchezwa Februari 14, 2021 nchini Angola kutokana na kikosi cha Namungo FC kuzuiliwa katika uwanja wa ndege mamlaka za nchi hiyo kwa hofu ya maambukizi ya C0r0na na CAF kuamuru michezo yote (nyumbani na ugenini) ichezwe Tanzania.

No comments:

Powered by Blogger.