LIVE STREAM ADS

Header Ads

#LIVE​ Buriani Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Kijazi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi alifariki dunia Februari 17, 2021 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma alikokuwa amelazwa baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda. Mazishi yake yamefanyika Korogwe mkoani Tanga.

No comments:

Powered by Blogger.