LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mongella awashukia wafanyabiashara wadogo, fuateni utaratibu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amewataka wafanyabiashara wadogo wanaotaka kuendelea kufanyia biashara zao katika maeneo ya mjini, wahakikishe wanakuwa na vitambulisho kuanzia Machi 01, 2021.

Mongella aliyasema hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara wadogo jijini Mwanza na kuongeza kuwa licha ya kuruhusiwa kufanya biashara zao katikati ya mji wahakikishe wanatumia maeneo ambayo ni si hatarishi kwa ajili ya usalama wao.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.