Yanga yapenya kwa tabu ASFC (1 - 0) Ken Gold SC
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Timu ya Yanga SC imefanikiwa kuingia kwenye hatua ya 16 bora kwenye michuano ya kombe la shirikisho (ASFC) baada ya kutandika Ken Gold SC kwa ushindi mwembamba wa goli 1-0.
SOMA>>> Habari zaidi hapa
No comments: