LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wananchi walivyojitokeza kwa wingi barabarani kutoa heshima zao za mwisho kwa Hayati Magufuli

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Picha mbalimbali wakazi wa Mwanza walivyojitokeza barabarani Jumatano Machi 24, 2021 kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki Machi 17, 2021 katika hospitali ya Mzena jijini Dar es salaam na kuzikwa nyumbani kwake Chato mkoani Geita, Ijumaa Machi 26, 2021.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.