LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwanza walivyomuaga JPM kwa mara ya mwisho

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Tazama video na picha mbalimbali kwenye zoezi la kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Jumatano Machi 24, 2021. Hayati Dkt. Magufuli alifariki Machi 17, 2021 na kuzikwa Chato mkoani Geita Ijumaa Machi 26, 2021.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.