LIVE STREAM ADS

Header Ads

Loh! Masomo ya Mwalimu Makena ni moto/ cheki hii akiwa Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
MC Mwalimu Makena ni miongoni mwa watoa mada kwenye kongamano la wanawake la Women Round Table litakalofanyika Jumapili Machi 07, 2021 jijini Mwanza likiambatana na utoaji tuzo za Mwanake Kinara kwa wanawake kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.