Jengo la abiria Mwanza Airport mbioni kukamilika, kutumika
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mradi wa ujenzi wa jengo la kisasa la abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza umefikia asilimia 85 baada ya kazi ya ufungaji vyuma vya kwa ajili ya kupata mwonekano kamili wa jengo kukamilika.
Msimamizi Mkuu wa mradi huo, Mhandisi Tunaye Mahenge amesema kazi inayoendelea hivi sasa ni ukamilishaji kuta za ndani, vyuma vya kushikilia vioo pamoja na uchoraji wa mifumo ya umeme na maji.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zaidi hapa
No comments: